[Lyrics] Paukwa Pakawa by Dela [@delamuziki]

Paukwa pakawa,
Umesaidia vipi wenzako hawa,
Nalia,
Sahani ya mchele,
Wengine wafa njaa tumbo yako mbele
Giza ya mwizi,
Lakini mchana tuwaogopa siku hizi, eh
Kiboko kwa mkorofi,
Maovu yako yanapigiwa makofi,

Dua la mnyonge,
Halimpati mwewe,
Mwenye nguvu mpishe,
Kilio change kisikize,
Dua la mnyonge,
Halimpati mwewe,
Nalia… ah… naliaa…..

Uhuru wangu mwanidai,
Mavazi yangu hayafai,
Eti ngozi nyeupe ni afadhali,
Songa kando tafadhali,
Nilisoma shule gani, eh,
Wazazi wangu kabila gani,
Eti tambo hili langu sio simu uuh,
Hamuelewi yalio muhimu, uuh eh!

[Chorus]

Paukwa pakawa,
Umesaidia vipi wenzako hawa,
Nalia,
Sahani ya mchele,
Wengine wafa njaa tumbo yako mbele
Giza ya mwizi,
Lakini mchana tuwaogopa siku hizi, eh
Kiboko kwa mkorofi,
Maovu yako yanapigiwa makofi,

[Chorus]

Dua la mnyonge, halimpati mwewe..
Nalia..ah..
Mwenye nguvu, mwenye nguvu, mpishe, mpishe…
Aaaaahh… ah

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s